
Siku ya Jumapili, Machi 8, 2026 ilifanyika ibada ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani katika Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front. Ibada za aina hii hufanyika kila Jumapili ya kwanza ya mwezi Machi kila mwaka ili kutoa fursa kwa wanawake kuongoza matukio na huduma zote za ibada.
Ibada zote tatu za siku hiyo ziliongozwa na wanawake ambapo neno kuu la siku hiyo lilikuwa ni kuwakumbusha wanawake na washarika wote Kutunza Mazingira.
SOMO: MAZINGIRA NI UHAI TUYATUNZE : ZABURI 146:14 -20, UFUNUO 4:11 na AYUBU 12:7-10
Taazama baadhi ya matukio katika picha kutoka kwenye ibada za siku hiyo hapa chini. (Picha: AZF/ Media Team)

Pia unaweza kutazama ibada hizo kupitia Youtube katika link hapa chini:
Ibada ya Kwanza (Swahili): https://www.youtube.com/watch?v=PJdkwN1LpIk
Ibada ya Pili (English): https://www.youtube.com/watch?v=_5KaIJJezmo
Ibada ya Tatu (Swahili): https://www.youtube.com/watch?v=61dp87LSIaA
--------------- ####--------------
