Event Date: 02-04-2026Hii hapa Ratiba Kamili ya Ibada za Kipindi cha Sikukuu ya Pasaka 2026. Usikose kuungana nasi kwenye Nyumba ya Bwana kusherehekea wiki hii takatifu.