Event Date: 
07-06-2026

Tazama video fupi inayoonyesha maendeleo ya mradi wa Kituo cha Kiroho cha Kiharaka; picha ya ukumbi (ambao kwa kiasi kikubwa umekamilika) pamoja na baadhi ya nyumba za wageni ambazo ziko katika hatua mbalimbali za ujenzi.

Maendeleo haya ni ya hadi kufikia wiki ya kwanza ya mwezi Juni 2026.

Bonyeza kiunganishi kifuacho kuona video inayoonyesha maendeleo ya mradi 

LINK: https://drive.google.com/file/d/1Ji1Q2f0Arzl6d2k0wRfpVU6-F1x7jcO8/view?u...

Karibuni!