Azania Front Yaadhimisha Siku ya Wanawake Duniani 2026

Siku ya Jumapili, Machi 8, 2026 ilifanyika ibada ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani katika Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front. Ibada za aina hii hufanyika kila Jumapili ya kwanza ya mwezi Machi kila mwaka ili kutoa fursa kwa wanawake kuongoza matukio na huduma zote za ibada. 

Ibada zote tatu za siku hiyo ziliongozwa na wanawake ambapo neno kuu la siku hiyo lilikuwa ni kuwakumbusha wanawake na washarika wote Kutunza Mazingira.

Matangazo ya usharika tarehe 15 Machi 2026

DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI

MATANGAZO YA USHARIKA

TAREHE 15 MACHI, 2026

SIKU YA BWANA YA 3 KABLA YA PASAKA

NENO LINALOTUONGOZA NI

YESU NI CHAKULA CHA UZIMA

1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.

2. Wageni: Hakuna mgeni aliyetufikia na cheti.

3. Matoleo ya Tarehe 08/03/2026

Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.

NAMBA YA SADAKA KWA NJIA YA MTANDAO:

- 0757 391174 - KKKT AZANIA FRONT

Matangazo ya usharika tarehe 8 Machi 2026

DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI

MATANGAZO YA USHARIKA

TAREHE 08 MACHI, 2026

SIKU YA BWANA YA 4 KABLA YA PASAKA

 NENO LINALOTUONGOZA SIKU NI

MAZINGIRA NI UHAI TUYATUNZE

1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.

2. Wageni: Hakuna mgeni aliyetufikia na cheti.

3. Matoleo ya Tarehe 01/03/2026

Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.

NAMBA YA SADAKA KWA NJIA YA MTANDAO:

- 0757 391174 - KKKT AZANIA FRONT

Matangazo ya usharika tarehe 28 Februari 2026

DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI

MATANGAZO YA USHARIKA

TAREHE 01 MACHI, 2026

SIKU YA BWANA YA 5 KABLA YA PASAKA

NENO LINALOTUONGOZA NI

UKATILI UPO TUUPINGE

1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.

2. Wageni: Hakuna mgeni aliyetufikia na cheti. Kama kuna wageni ambao ni mara yao ya kwanza kushiriki nasi wasimame ili tuwakaribishe.

3. Matoleo ya Tarehe 22/02/2026

Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.